Albamu ya Video

 • WAZIRI NDAKI ATOA MAELEKEZO KWA WATAALAM WANAOKUSANYA MADUHULI KWENYE SEKTA YA MIFUGO

  WAZIRI NDAKI ATOA MAELEKEZO KWA WATAALAM WANAOKUSANYA MADUHULI KWENYE SEKTA YA MIFUGO

  January 26, 2022

  Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mashimba Ndaki ametoa maelekezo manne kwa wataalam wa mifugo wanaohusika na ukusanyaji wa maduhuli ya serikali kwa lengo la kuhakikisha wanafikia lengo lililowekwa katika bajeti ya mwaka 2021/2022.

 • MAKALA : UMUHIMU WA MAJUKUMU YA MAABARA YA TAIFA YA UVUVI

  MAKALA : UMUHIMU WA MAJUKUMU YA MAABARA YA TAIFA YA UVUVI

  January 26, 2022

  Karibu katika makala maalum inayoandaliwa na wizara ya mifugo na uvuvi ili kukufahamisha majukumu, mafanikio, mikakati na fursa mbalimbali zilizopo kupitia wizara hii na taasisi zilizo chini yake, pamoja na kukuelimisha wewe mwananchi namna unavyoweza kujikwamua kiuchumi kupitia sekta za mifugo na uvuvi. Katika makala hii utafahamu majukumu ya maabara ya taifa ya uvuvi iliyopo Kata ya Nyegezi Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza.

 • Mweli asisitiza ushirikiano kati ya TAMISEMI na sekta za Mifugo na Uvuvi...

  Mweli asisitiza ushirikiano kati ya TAMISEMI na sekta za Mifugo na Uvuvi...

  January 26, 2022

  Wadau wakiri kikao kimewapa manufaa makubwa... waelezea mipango yao baada ya hapo..

 • Dkt. Mpango agawa pikipiki 300 kwa Wataalam wa Mifugo na Uvuvi..

  Dkt. Mpango agawa pikipiki 300 kwa Wataalam wa Mifugo na Uvuvi..

  January 26, 2022

  Atoa maagizo mazito kwa Wakurugenzi wa Halmashauri na Wataalam hao.... Bashungwa aahidi kuilinda asilimia 15 itokanayo na tozo za Mifugo.... Tazama hapo.

 • WATAALAM SEKTA YA UVUVI WATAKIWA KUTIMIZA LENGO LA UKUSANYAJI MADUHULI YA SERIKALI

  WATAALAM SEKTA YA UVUVI WATAKIWA KUTIMIZA LENGO LA UKUSANYAJI MADUHULI YA SERIKALI

  January 26, 2022

  Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mashimba Ndaki amewataka wataalam wa sekta ya Uvuvi kuhakikisha wanakusanya maduhuli ya serikali ili kutimiza lengo la kukusanya bilioni 40 kwa mwaka wa fedha 2021/2022.

.
Tanzania Census 2022 Tanzania Census 2022