Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Albamu ya Video
-
YALIYOJIRI (MWEZI MACHI, 2020)
June 17, 2020Ni kipindi kinachokuletea kwa muhtasari tu matukio yote muhimu yaliyofanyika ndani ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwezi husika.
-
KIPINDI : MIFUGO NA UVUVI ( Ziara ya kamati ya kilimo, Mifugo na Maji kwenye sekta ya mifugo Kagera)
June 17, 2020Wizara ya Mifugo na Uvuvi imekuwa ikikuletea vipindi vinavyolenga kukufahamisha namna ya kujikwamua kiichumi kupitia sekta ya mifugo na uvuvi.
-
KIPINDI: MIFUGO NA UVUVI (MCHANGO WA TAFIRI KATIKA KUKUZA SEKTA YA UVUVI NCHINI)
June 17, 2020Wizara ya Mifugo na Uvuvi inaandaa mfululizo wa vipindi vya redio na televisheni ambavyo lengo lake kuu ni kutoa elimu na kukufahamisha majukumu ya wizara ya kuboresha sekta ya mifugo na uvuvi kwa mwananchi na taifa kwa ujumla. Katika kipindi hiki utafahamu mchango wa Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI) inavyofanya jitihada mbalimbali katika kukuza sekta ya uvuvi hapa nchini.
-
Sikiliza hapa Ujumbe wa Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (MIFUGO) Prof.Elisante Ole Gabriel
June 17, 2020Ni kuhusu Ugonjwa wa Corona
-
KIPINDI: MIFUGO NA UVUVI (FAIDA ZA MAFUNZO REJEA KWA MAAFISA UGANI NA WAFUGAJI)
June 17, 2020Wizara ya Mifugo na Uvuvi inaandaa mfululizo wa vipindi vya redio na televisheni ambavyo lengo lake kuu ni kutoa elimu na kukufahamisha majukumu ya wizara ya kuboresha sekta ya mifugo na uvuvi kwa mwananchi na taifa kwa ujumla. Katika kipindi hiki utafahamu namna serikali ilivyo na mikakati ya kukutana na maafisa ugani na wafugaji kote nchini na kuwapatia mafunzo rejea kuhusu sekta ya mifugo nchini. Kwenye makala haya utashuhudia timu ya wataalamu kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi ikishirikiana na wataalamu kutoka Wilaya ya Momba Mkoani Songwe kutoa mafunzo hayo.