Albamu ya Video

  • "Katika awamu hii ya pili ya ujenzi hakikisheni kila jambo linafanywa na mtaalamu husika na msirudie

    June 17, 2020

    "Katika awamu hii ya pili ya ujenzi hakikisheni kila jambo linafanywa na mtaalamu husika na msirudie

  • Shamba la Mifugo la Shishiyu kuwekewa mpango bora wa matumizi

    Shamba la Mifugo la Shishiyu kuwekewa mpango bora wa matumizi

    June 17, 2020

    Msikilize hapa Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo) Prof. Elisante Ole Gabriel akielelezea kuhusu nia ya Wizara ya kuweka mpango maalum wa matumizi bora ya shamba la mifugo la Shishiyu lililopo Maswa Mkoani Simiyu.

  • BUZIRAYOMBO KUWA YA KIMATAIFA

    BUZIRAYOMBO KUWA YA KIMATAIFA

    June 17, 2020

    Tazama hapa namna Wilaya ya Chato na Wizara ya Mifugo na Uvuvi zilivyojipanga kuweka mnada wa kimataifa wa Upili katika eneo la mnada wa awali wa Buzirayombo .

  • "NARCO kuwa kitovu cha Mifugo na bidhaa zake baada ya Corona" Prof. Ole Gabriel

    June 17, 2020

    "NARCO kuwa kitovu cha Mifugo na bidhaa zake baada ya Corona" Prof. Ole Gabriel

  • KIPINDI (ZIARA YA KAMATI YA KILIMO, MIFUGO NA MAJI KWENYE SEKTA YA UVUVI MKOANI KAGERA.

    KIPINDI (ZIARA YA KAMATI YA KILIMO, MIFUGO NA MAJI KWENYE SEKTA YA UVUVI MKOANI KAGERA.

    June 17, 2020

    Ni makala ambayo huletwa kwako kwa lengo la kukuelimisha juu ya namna unavyoweza kujikwamua kiuchumi kupitia sekta za mifugo na uvuvi. Leo makala haya yanaangazia ziara ya kamati ya kudumu ya bunge ya kilimo, mifugo na maji kukagua maendeleo ya sekta ya uvuvi huko mkoani Kagera.

.