Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Albamu ya Video
-
WAZIRI MPINA AWASILISHA BAJETI YA WIZARA 2020/2021
June 17, 2020Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Joelson Mpina (Mb) tarehe 14/05/2020 akiwasilisha katika Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania, makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2020/2021.
-
"Wafugaji lazima walindwe, nao wafuate sheria!" Katibu Mkuu Prof. Gabriel
June 17, 2020Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo) Prof. Elisante Ole Gabriel, akizungumza na Baraza la Wafanyakazi (12.05.2020) katika Sekta ya Mifugo, ametoa wito kwa wafugaji nchini kutoonewa wala kudhulumiwa mali zao, huku akiwakumbusha pia wafugaji kufuata sheria, taratibu na kanuni za nchi.
-
YALIYOJIRI APRILI, 2020
June 17, 2020Tazama hapa ili uweze kufahamu kwa muhtasari matukio yote muhimu yaliyojiri ndani ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa kipindi cha Mwezi Aprili, 2020.
-
Tahadhari dhidi ya hofu ya Corona
June 17, 2020"Hofu ya Corona ni mbaya kuliko Corona yenyewe" Prof. Ole Gabriel, Msikilize hapa.
-
ZIARA YA KATIBU MKUU MIFUGO IKUNGI LEO
June 17, 2020Tazama hapa ziara fupi ya Ukaguzi wa Mashamba darasa iliyofanywa na Prof. Ole Gabriel wilayani Ikungi leo (1.05.2020).