Albamu ya Video

  • Waziri Mpina:

    Waziri Mpina: "Mawaziri SADC na miezi mitatu ya tathmini athari za Covid 19."

    June 20, 2020

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Joelson Mpina (Mb) ambaye ni Mwenyekiti wa Mawaziri wa Kilimo, Usalama wa Chakula, Kilimo, Mifugo na Uvuvi (22.05.2020) ameongoza mawaziri wa nchi 11 kati ya 16 wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kwa njia ya video (video conference). Katika kikao hicho ambacho jopo la Tanzania likiongozwa na Waziri Mpina walifanya kikao hicho wakiwa kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam, ambapo kikao cha mawaziri hao kilitoa maazimio ya mikakati mbalimbali ya kukabiliana na changamoto za nchi wanachama.

  • Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega atembelea Machinjio ya Vingunguti

    Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega atembelea Machinjio ya Vingunguti

    June 20, 2020

    Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega atembelea Machinjio ya Vingunguti

  • NAIBU WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI MHE. ABDALLAH ULEGA ATOA WITO KWA WAKANDARASI KUARAKISHA UJENZI

    NAIBU WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI MHE. ABDALLAH ULEGA ATOA WITO KWA WAKANDARASI KUARAKISHA UJENZI

    June 20, 2020

  • WAZIRI MPINA AHITIMISHA BAJETI YA WIZARA 2020/2021

    WAZIRI MPINA AHITIMISHA BAJETI YA WIZARA 2020/2021

    June 20, 2020

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Joelson Mpina (Mb), (14.05.2020) ahitimisha hoja za makadirio ya mapato na matumizi ya bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka wa fedha 2020/2021.

  • BAJETI YA WIZARA 2020/2021: NAIBU WAZIRI ULEGA AJIBU HOJA

    BAJETI YA WIZARA 2020/2021: NAIBU WAZIRI ULEGA AJIBU HOJA

    June 20, 2020

    Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Hamis Ulega (Mb) akijibu hoja za wabunge (14.05.2020) kuhusu makadirio ya mapato na matumizi ya ya bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka wa fedha 2020/2021.

.