Albamu ya Video

  • MAKALA YA USINDIKAJI WA MAZIWA NCHINI

    MAKALA YA USINDIKAJI WA MAZIWA NCHINI

    June 20, 2020

    Tazama hapa makala inayohusu suala zima la usindikaji wa maziwa hapa nchini ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya maziwa 2020 kwa njia ya kielektroniki.

  • MAKALA: UTUNZAJI WA MAZINGIRA

    MAKALA: UTUNZAJI WA MAZINGIRA

    June 20, 2020

    Tazama hapa makala kuhusu sekta ya uvuvi hapa Tanzania inavyoshiriki kutunza mazingira ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya maziwa 2020.

  • Makala ya Uzalishaji wa Maziwa nchini

    Makala ya Uzalishaji wa Maziwa nchini

    June 20, 2020

  • UZINDUZI WIKI YA MAZIWA 2020

    UZINDUZI WIKI YA MAZIWA 2020

    June 20, 2020

    Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega (Mb) tarehe 28.05.2020 amezindua wiki ya unywaji maziwa nchini kuelekea maadhimisho ya siku ya unywaji maziwa duniani na kusisitiza watanzania kuthamini maziwa yanayochakatwa kupitia viwanda vilivyopo nchini. Uzinduzi wa wiki ya unywaji maziwa nchini umezinduliwa mjini Dodoma kwa njia ya kieletroniki na kurushwa moja kwa moja na televisheni ya taifa (TBC), ikiwa ni moja ya njia ya kuzuia maambukizi ya virusi vya corona.

  • PROF. GABRIEL: AFUNGUA MKUTANO WA MAAFISA WAANDAMIZI SADC

    PROF. GABRIEL: AFUNGUA MKUTANO WA MAAFISA WAANDAMIZI SADC

    June 20, 2020

    Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo) Prof. Elisante Ole Gabriel (22.05.2020) amefungua mkutano wa kamati ya maafisa waandamizi ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kwa njia ya video (video conference) katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam na kuitaka kamati hiyo kufanya kazi kwa tija.

.