Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Albamu ya Video
-
Angalia hapa namna Chato itakavyokuwa na kituo kikubwa zaidi cha kukuzia Viumbe Maji Tanzania
July 09, 2020Wizara ya Mifugo na Uvuvi yaanza ujenzi wa kituo hicho chenye thamani ya shilingi bilioni 3.8
-
Malengo ya kisekta kwenye mifugo na uvuvi kufikia katika uchumi wa kati!
July 09, 2020Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani, Mhandisi Mshuma Ndume amesema Wizara ya Mifugo na Uvuvi imedhamiria kufikia malengo ya kisekta katika uchumi wa kati kutokana na wizara hiyo kuweka mikakati ya kuinua uchumi wa mwananchi na taifa kwa ujumla. Amebainisha hayo wakati Mkurugenzi wa Idara ya Utafiti, Mafunzo na Ugani kutoka katika wizara hiyo Dkt. Angello Mwilawa kuongoza wakufunzi kutoka Wakala ya Vyuo vya Mafunzo ya Mifugo nchini (LITA) katika mafunzo ya ufugaji bora wa kuku kwa wafugaji wa wilaya hiyo
-
Waziri Mpina awapongeza wajumbe waliomaliza muda wao
July 09, 2020Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina amewashukuru wajumbe waliomaliza muda wao kutoka Baraza la Vetarinari Tanzania, bodi ya Wakala wa Vyuo vya Mafunzo ya Mifugo nchini (LITA) na Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu (MPRU kwa kutekeleza majukumu yao vizuri.
-
Waziri Mpina aagiza kuchukuliwa hatua za kisheria, maafisa mifugo wasiyo na sifa!
July 09, 2020Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina akizungumza na Baraza la Veterinari Tanzania jijini Dodoma na kuagiza kuchukuliwa hatua za kisheria kwa maafisa mifugo nchini wasiyo na sifa na wanaotoa huduma kwa wananchi bila vibali wala kuthibitishwa.
-
Nchi zilizopo eneo la Ziwa Victoria zaweka mikakati endelevu ya ziwa hilo.
July 09, 2020Viongozi na watendaji wa umoja wa nchi zilizopo eneo la Ziwa Victoria wamefanya mkutano usiyokuwa wa kawaida kwa njia ya video ambapo wamekubaliana matumizi bora ya ziwa hilo.