SIKU YA CHAKULA DUNIANI 2026
SIKU YA CHAKULA DUNIANI 2026
10 October, 2026 - 16 October, 2026
08:00:00 - 17:59:00
Viwanja vya Shule ya Sekondari Usagara, TANGA
0784880805
Wizara ya Mifugo na Uvuvi itashiriki Maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani yatakayofanyika mkoani Tanga kuanzia Oktoba 10-16, 2026.