KIKAO CHA WAZIRI NA WATUMISHI WA WIZARA
KIKAO CHA WAZIRI NA WATUMISHI WA WIZARA
26 March, 2025 - 29 March, 2025
00:09:00 - 14:09:00
MPWAPWA
mtamike.omary@gmail.com
Waziri wa Mifugo na Uvuvi anatarajia kukutana na watumishi wote wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi ambapo watapata fursa ya kuongea naye masuala mbalimbali yanayohusu maslahi yao huku waziri akieleza mikakati ya Wizara kukuza sekta za Mifugo na Uvuvi.
