TANGAZO LA VIJANA KUJIUNGA NA VITUO VYA JENGA KESHO ILIYO BORA (BBT) VYA UNENEPESHAJI WA NG’OMBE WA NYAMA KIBIASHARA
Wizara ya Mifugo na Uvuvi inakaribisha maombi ya Vijana kujiunga na mafunzo ya Ujasiriamali kupitia Programu ya BBT – Mifugo ya unenepeshaji wa ng’ombe wa nyama kibiashara kwa muda usiozidi mwaka mmoja katika vituo vifuatavyo:-
0 2. Waombaji watatoka katika makundi matatu kama ifuatavyo:-
i. Asilimia 30 ya vijana wawe ni wahitimu wa angalau elimu ya msingi wanaojishughulisha na ufugaji wa ng’ombe.
ii. Asilimia 30 ya vijana wawe wamehitimu mafunzo ya kujitolea ya Jeshi la Kujenga Taifa.
iii. Asilimia 40 ya Vijana wawe wamehitimu Mafunzo ya Mifugo katika ngazi za Astashahada, Stashahada au Shahada kutoka vyuo vinavyotambulika na Serikali.
3. Sifa za muombaji
i. Awe Raia wa Tanzania,
ii. Awe na umri kati ya Miaka 18 – 30, Mji wa Serikali Mtumba, Mtaa wa Ulinzi, S.L.P 2870, DODOMA Anwani ya Simu: “Mifugo” Simu Nambari: +255 (026) 2322612 Nukushi: +255 (026) 2322613 Barua pepe: ps@mifugo.go.tz Tovuti: http://www.mifugouvuvi.go.tz In reply please q