Albamu ya Video

 • BAJETI YA WIZARA 2020/2021: NAIBU WAZIRI ULEGA AJIBU HOJA

  BAJETI YA WIZARA 2020/2021: NAIBU WAZIRI ULEGA AJIBU HOJA

  June 20, 2020

  Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Hamis Ulega (Mb) akijibu hoja za wabunge (14.05.2020) kuhusu makadirio ya mapato na matumizi ya ya bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka wa fedha 2020/2021.

 • WAZIRI MPINA AWASILISHA BAJETI YA WIZARA 2020/2021

  WAZIRI MPINA AWASILISHA BAJETI YA WIZARA 2020/2021

  June 17, 2020

  Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Joelson Mpina (Mb) tarehe 14/05/2020 akiwasilisha katika Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania, makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2020/2021.

 • "Wafugaji lazima walindwe, nao wafuate sheria!" Katibu Mkuu Prof. Gabriel

  June 17, 2020

  Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo) Prof. Elisante Ole Gabriel, akizungumza na Baraza la Wafanyakazi (12.05.2020) katika Sekta ya Mifugo, ametoa wito kwa wafugaji nchini kutoonewa wala kudhulumiwa mali zao, huku akiwakumbusha pia wafugaji kufuata sheria, taratibu na kanuni za nchi.

 • YALIYOJIRI APRILI, 2020

  YALIYOJIRI APRILI, 2020

  June 17, 2020

  Tazama hapa ili uweze kufahamu kwa muhtasari matukio yote muhimu yaliyojiri ndani ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa kipindi cha Mwezi Aprili, 2020.

 • Tahadhari dhidi ya hofu ya Corona

  Tahadhari dhidi ya hofu ya Corona

  June 17, 2020

  "Hofu ya Corona ni mbaya kuliko Corona yenyewe" Prof. Ole Gabriel, Msikilize hapa.

.