Albamu ya Video

 • Tathmini ya wadau kuhusu tasnia ya ngozi

  Tathmini ya wadau kuhusu tasnia ya ngozi

  July 15, 2020

  Wadau wa Mfuko wa maendeleo ya Mifugo (LDF) walikutana leo (14.07.2020) katika ofisi ndogo za Wizara ya Mifugo na Uvuvi zilizopo jengo la NBC jijini Dodoma lengo likiwa ni kujadili hatma ya tasnia ya ngozi hasa baada ya kuisha kwa ugonjwa wa Corona.

 • KAA WA AJABU MTAZAME HAPA!

  KAA WA AJABU MTAZAME HAPA!

  July 15, 2020

  Tazama hapa umuone kaa wa ajabu anayepatikana katika kisiwa cha Budya

 • Wafugaji Mkuranga wakabidhiwa vifaranga kujiinua kiuchumi!

  Wafugaji Mkuranga wakabidhiwa vifaranga kujiinua kiuchumi!

  July 15, 2020

  Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeendelea kukabidhi vifaranga kwa vikundi mbalimbali hapa nchini ili kuwaiongezea shughuli za kiuchumi. Shuhudia namna wizara ilivyokabidhi vifaranga kwa vikundi vilivyopo Wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani.

 • ANGALIA HAPA YALIYOJIRI JUNI 2020

  ANGALIA HAPA YALIYOJIRI JUNI 2020

  July 11, 2020

  Tazama hapa matukio yaliyojiri ndani ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa kipindi cha Mwezi Juni, 2020.

 • MCHANGO WA TVLA KWENYE SEKTA YA MIFUGO NCHINI

  MCHANGO WA TVLA KWENYE SEKTA YA MIFUGO NCHINI

  July 11, 2020

  Haya ndio yanayofanywa na TVLA katika kuhakikisha Mifugo inakuwa na afya njema hapa nchini

.