Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Albamu ya Video
-
SHIRIKA LA MAENDELEO LA UFARANSA LIMEPANGA KUWEKEZA KWENYE SEKTA YA UVUVI NCHINI TANZANIA
October 24, 2022SHIRIKA LA MAENDELEO LA UFARANSA LIMEPANGA KUWEKEZA KWENYE SEKTA YA UVUVI NCHINI TANZANIA
-
SERA YA TAIFA YA MIFUGO YA 2006 KUBORESHWA
October 24, 2022SERA YA TAIFA YA MIFUGO YA 2006 KUBORESHWA
-
SERIKALI YAWAHAKIKISHIA WAWEKEZAJI MAZINGIRA MAZURI YA UWEKEZAJI NCHINI
October 24, 2022SERIKALI YAWAHAKIKISHIA WAWEKEZAJI MAZINGIRA MAZURI YA UWEKEZAJI NCHINI
-
IPINDI: UBORESHAJI WA MIFUGO KWA NJIA YA UNENEPESHAJI
October 24, 2022Karibu katika kipindi hiki kinacholetwa kwako na Wizara ya Mifugo na Uvuvi ambapo utapata fursa ya kufahamu namna ya kuboresha mifugo kwa njia ya unenepeshaji huku tukijikita zaidi kwenye Mkoa wa Katavi..Endelea kutazama.
-
KIPINDI UFUGAJI SAMAKI KWENYE MAENEO YENYE UKAME NA OEVU
October 24, 2022Ufugaji wa samaki si jambo geni hata kidogo masikioni mwetu na wengi tunatambua kuwa ni shughuli inayohamkikishia mfugaji kipato na lishe mara baada ya kuvuna samaki hao.. Lakini mara nyingi tumezoea kuona shughuli hiyo ikifanyika maeneo yenye upatikanaji wa maji ya kutosha kwa kipindi chote cha mwaka jambo lililotufanya wengi tuamini kuwa maeneo kame hayawezi kufanyika shughuli hiyo na ubunifu mwingine wa kitaalam unaomuwezesha mfugaji wa samaki kufanya shughuli hiyo na kulima mpunga katika eneo moja na kwa wakati mmoja au watalaam wanaita “Samaki Mpunga”.