Albamu ya Video

  • NZUNDA AWATAKA VIJANA KUTUMIA VYEMA FURSA YA MAFUNZO YA UFUGAJI WA KISASA ILIYOTOLEWA NA SERIKALI

    NZUNDA AWATAKA VIJANA KUTUMIA VYEMA FURSA YA MAFUNZO YA UFUGAJI WA KISASA ILIYOTOLEWA NA SERIKALI

    November 08, 2022

    NZUNDA AWATAKA VIJANA KUTUMIA VYEMA FURSA YA MAFUNZO YA UFUGAJI WA KISASA ILIYOTOLEWA NA SERIKALI

  • SERIKALI KUTOA ZAIDI YA BIL.30.9 KWA WAVUVI-NDAKI

    SERIKALI KUTOA ZAIDI YA BIL.30.9 KWA WAVUVI-NDAKI

    November 08, 2022

    SERIKALI KUTOA ZAIDI YA BIL.30.9 KWA WAVUVI-NDAKI

  • Uzinduzi wa Mpango kabambe-Uvuvi

    Uzinduzi wa Mpango kabambe-Uvuvi

    November 08, 2022

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amezindua mpango kabambe wa miaka 15 wa sekta ya Uvuvi tukio lililofanyika Septemba 20,2022 kwenye ukumbi wa Maktaba ya Chuo Kikuu cha Dar-es-salaam

  • MAKALA: MFAHAMU KIUMBE MAJI ARTEMIA NA UMUHIMU WAKE KUELEKEA UCHUMI WA BULUU

    MAKALA: MFAHAMU KIUMBE MAJI ARTEMIA NA UMUHIMU WAKE KUELEKEA UCHUMI WA BULUU

    November 08, 2022

    Karibu katika makala maalum inayoandaliwa na wizara ya mifugo na uvuvi ili kukufahamisha majukumu, mafanikio, mikakati na fursa mbalimbali zilizopo kupitia wizara hii na taasisi zilizo chini yake, pamoja na kukuelimisha wewe mwananchi namna unavyoweza kujikwamua kiuchumi kupitia sekta za mifugo na uvuvi. Katika makala hii utafahamu juu ya Mradi wa Kukuza Tekonolojia ya Uzalishaji wa Artemia kwa ajili ya Maendeleo Endelevu ya Ukuzaji Viumbe Maji, Usalama wa Chakula na Ukuaji wa Kiuchumi kwa Jamii za Pwani ya Mashariki (APTSAD) ambao umefanyika kwa miaka miwili kuanzia 2020 hadi 2022 katika Mkoa wa Tanga kukifanyia utafiti kiumbe maji kiitwacho Artemia ambacho kinaishi kwenye maji chumvi kwa ajili ya matumizi mbalimbali yakiwemo ya kusafisha majangwa ya chumvi pamoja na kuwa sehemu ya malighafi ya kutengenezea chakula cha samaki.

  • SERIKALI YAKUSUDIA KUBORESHA MNYORORO WA THAMANI WA ZAO LA PWEZA

    SERIKALI YAKUSUDIA KUBORESHA MNYORORO WA THAMANI WA ZAO LA PWEZA

    November 08, 2022

    SERIKALI YAKUSUDIA KUBORESHA MNYORORO WA THAMANI WA ZAO LA PWEZA

.