Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Albamu ya Video
-
WAZIRI NDAKI AAGIZA KUSITISHWA KWA MKATABA WA UJENZI WA MNADA WA MALAMPAKA
November 08, 2022WAZIRI NDAKI AAGIZA KUSITISHWA KWA MKATABA WA UJENZI WA MNADA WA MALAMPAKA
-
WAZIRI NDAKI AWAFAFANULIA VIJANA MALENGO YA UANZISHWA WA SAUTI PROGRAMU
November 08, 2022WAZIRI NDAKI AWAFAFANULIA VIJANA MALENGO YA UANZISHWA WA SAUTI PROGRAMU
-
"Wanaovamia ranchi za Taifa ni wahalifu kama walivyo wahalifu wengine" Nzunda.
November 08, 2022Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi Bw. Tixon Nzunda amebainisha kuwa wafugaji wanaovamia maeneo ya ranchi ni wahalifu na wanapaswa kukamatwa na kuchukuliwa hatua za kisheria kama ilivyo kwa wahalifu wengine, Msikilize hapo.
-
TALIRI YATAKIWA KUFIKISHA ELIMU YA MALISHO WALIYOYAFANYIA UTAFITI KWA WAFUGAJI
November 08, 2022TALIRI YATAKIWA KUFIKISHA ELIMU YA MALISHO WALIYOYAFANYIA UTAFITI KWA WAFUGAJI
-
"TUTAONDOA WAWEKEZAJI WASIOLIPA KODI AU KUFUGA KISASA" NZUNDA.
November 08, 2022Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia sekta ya Mifugo Bw. Tixon Nzunda amesema kuwa Serikali itawaondoa kwenye ranchi zake wawekezaji wote wasiofuga kisasa au kulipa kodi ya vitalu walivyokodishwa, Tazama zaidi hapo..