Nifanyeje?
- Zipi sifa za kuorodheshwa kama msaidizi wa mtaalam wa mifugo? (Enlisted Paraprofessional Assistant)
- Zipi sifa za kujiandikisha kama mtaalam msaidizi wa mifugo? (Enrolled Paraprofessional).
- Daktari wa mifugo asiye mtanzania (Foreigner) anasajiliwa vipi na Baraza.
- Daktari wa mifugo asiye Mtanzania anaweza kusajiliwa na kufanyakazi hapa nchini? (Temporary and permanent registration)?
Albamu ya Video
-
KIPINDI: MIFUGO NA UVUVI (UMUHIMU WA MAZAO YA SAMAKI YAKIWEMO YA MABONDO KUELEKEA UCHUMI WA VIWANDA)
June 10, 2020Wizara ya Mifugo na Uvuvi inaandaa mfululizo wa vipindi vya redio na televisheni ambavyo lengo lake kuu ni kutoa elimu na kukufahamisha majukumu ya wizara ya kuboresha sekta ya mifugo na uvuvi kwa mwananchi na taifa kwa ujumla. Katika kipindi hiki utafahamu umuhimu wa kuyaongezea thamani mazao yapatikanayo kwa samaki yakiwemo mabondo ambayo yanatumika kwa ajili ya kutengenezea bidhaa mbalimbali katika kukuza uchumi wa nchi kupitia viwanda vya kuchakata mabondo vilivyopo hapa nchini.
-
Uzinduzi wa Agenda za Taifa za Utafiti
June 10, 2020Uzinduzi wa Agenda ya Kitaifa ya Utafiti wa Mifugo, Uvuvi na Ukuzaji viumbe kwenye maji 2020 - 2025 unaofanyika leo katika viwanja vya Freedom Square Kampasi ya Mazimbu, Chuo kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA), 16/11/2019.
-
KIPINDI: MIFUGO NA UVUVI (ZIARA YA KAMATI YA BUNGE LITA NA TALIRI MPWAPWA)
June 10, 2020Wizara ya Mifugo na Uvuvi inaandaa mfululizo wa vipindi vya redio na televisheni ambavyo lengo lake kuu ni kutoa elimu na kukufahamisha majukumu ya wizara ya kuboresha sekta ya mifugo na uvuvi kwa mwananchi na taifa kwa ujumla. Katika kipindi hiki utafahamu yaliyojitokeza katika ziara ya Kamati ya Bunge (Kilimo, Mifugo na Maji) ilipotembelea Wakala ya Vyuo vya Mafunzo ya Mifugo nchini (LITA) na Taasisi ya Utafiti wa Mifugo nchini (TALIRI) katika Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma.
-
KIPINDI: MIFUGO NA UVUVI (FAIDIKA KIUCHUMI KUPITIA UFUGAJI SAMAKI KWENYE VIZIMBA)
June 10, 2020Wizara ya Mifugo na Uvuvi inaandaa mfululizo wa vipindi vya redio na televisheni ambavyo lengo lake kuu ni kutoa elimu na kukufahamisha majukumu ya wizara ya kuboresha sekta ya mifugo na uvuvi kwa mwananchi na taifa kwa ujumla. Katika kipindi hiki utafahamu namna unavyoweza kufaidika kiuchumi kwa kuanza kufuga samaki kwa kutumia njia ya vizimba kwenye bahari au maziwa yaliyopo hapa nchini.
-
KIPINDI: MIFUGO NA UVUVI (UMUHIMU WA CHANJO YA UGONJWA WA MDONDO KWA KUKU)
June 10, 2020Wizara ya Mifugo na Uvuvi inaandaa mfululizo wa vipindi vya redio na televisheni ambavyo lengo lake kuu ni kutoa elimu na kukufahamisha majukumu ya wizara ya kuboresha sekta ya mifugo na uvuvi kwa mwananchi na taifa kwa ujumla. Katika kipindi hiki utafahamu majukumu ya Wakala ya Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA) na Kiwanda cha Kuzalisha Chanjo nchini (TVI) kilichopo katika Wilaya ya Kibaha Mkoani Pwani namna kinavyohakikisha kinazalisha chanjo za kutosha za ugonjwa wa mdondo kwa kuku.