Ufugaji bora ni upi?
Ufugaji bora ni upi?
Ni ufugaji unaohusisha mifugo michache inayoendana na miundominu ya kufugia kama vile eneo la malisho, josho na bwawa la maji ya kunyweshea mifugo hiyo.