Uwezeshaji
Uwezeshaji
Imewekwa: 25 March, 2025
Wizara inawawezesha wadau wake waliopo kwenye sekta za Mifugo na Uvuvi kupitia Dawati lake la Sekta binafsi ambalo linawaunganisha wadau hao na Taasisi za fedha nchini. Aidha Wizara inawawezesha wataalam wake elimu na vitendea kazi ili waweze kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi.