USIMAMIZI
USIMAMIZI
Imewekwa: 25 March, 2025

Wizara ina jukumu la kusimamia na kuwezesha ukuaji wa sekta za mifugo na uvuvi kuwa za kibiashara na za kisasa kupitia uandaaji na utekelezaji wa sera, mikakati, miongozo, usimamizi wa sheria, ufuatiliaji na tathmini, kujenga uwezo, weledi na ushirikishaji wa wadau.