Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Mifugo na Uvuvi

Maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani

10 October, 2025 - 16 October, 2025
08:00:00 - 06:00:00
Viwanja vya Shule ya Sekondari Usagara, TANGA
Mary Yongolo,0754332929

Wizara ya Mifugo na Uvuvi itashiriki Maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani ambayo kitaifa yatafanyika kwenye Viwanja vya Shule ya Sekondari Usagara mkoani Tanga kuanzia Oktoba 10 hadi 16,2025. Karibu kwenye mabanda ya Wizara yetu ili upate fursa ya kufahamu namna unavyoweza kuwa na afya bora kupitia lishe itokanayo na mazao ya Sekta za Mifugo na Uvuvi.

Maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani
Mrejesho, Malalamiko au Wazo