Private Sector Desk Strategy

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI

MKAKATI WA KUANZISHA DAWATI LA SEKTA BINAFSI

(PRIVATE SECTOR DESK)

1 Oktoba, 2018

YALIYOMO

DIBAJI3

SEKTA YA MIFUGO.. 5

Hali ya Viwanda vya Kusindika Maziwa Nchini kwa mwaka 2017/2018. 5

Changamoto:5

Hali ya viwanda vya kuchakata Ngozi Tanzania. 10

Changamoto. 10

Viwanda vya nyama……………………………………………………………………………………………………………………………….….12

SEKTA YA UVUVI15

UAGIZAJI WA BIDHAA KUTOKA NJE YA NCHI19

Chati Na. 8: TADB-Mikopo iliyopo kwa wateja “exposure” (2015-August, 2018)………………………………………….20

Chati namba 9: Private Agricultural Sector Support Trust (PASS)…………………………………………………………………20

UWEKEZAJI KWENYE SEKTA YA KILIMO KUPITIA KITUO CHA UWEKEZAJITANZANIA (TIC)21

UBIA KWENYE SEKTA YA KILIMO-SAGCOT CENTER. 21

UFANISI WA SEKTA. 21

CHANGAMOTO ZA SEKTA YA MIFUGO NA UVUVI24

UTEKELEZAJI WA VIPAUMBELE. 24

UANZISHWAJI WA DAWATI25

Majukumu:25

UZINGUZI WA DAWATI………….………………………………………………………………………………………………………………..…26

MPANGO KAZI WA DAWATI LA SEKTA BINASFI ZA SEKTA YA MIFUGO NA UVUVI26

WATUMISHI WALIOTEULIWA KWENYE DAWATI LA SEKTA BINAFSI………………………………………………………..36

Kwa upande wa Sekta ya Mifugo katika mwaka 2017 idadi ya mifugo nchini inakadiriwa kufikia ng’ombe milioni 30.5, mbuzi

Tafiti zilizofanyika kwa vipindi tofauti zinaonesha kwamba, kiasi cha samaki kilichopo katika maji yetu ni tani 2,736,248 (sawa na kilo bilioni 2.74) ambapo Ziwa Victoria lina tani 2,143,248; Ziwa Tanganyika tani 295,000 na Ziwa Nyasa tani 168,000, Maji madogo (maziwa madogo ya kati, mito na mabwawa) tani 30,000 na Maji ya Kitaifa ya Bahari ya Hindi tani 100,000, na EEZ bado akiba yake haijajulikana.

Tanzania imejaliwa kuwa na ufukwe wenye urefu wa kilomita 1424 katika ukanda wa pwani wa Bahari ya Hindi ambapo kilomita 854 sawa na asilimia 60 inafaa kwa ufugaji wa samaki na upande wa Ziwa Victoria wenye ufukwe wa urefu wa kilomita 3450 ambapo kilomita 2587 sawa na asilimia 75 inafaa kwa ufugaji wa samaki kwenye vizimba (cage farming).

Pamoja na utajiri wa rasilimali zilizopo, Sekta ya Mifugo na Uvuvi bado mchango wake katika uchumi ni mdogo sana, pia sekta hizi zimeandamwa na changamoto mbalimbali ikiwemo; uwekezaji mdogo wa sekta binafsi, uzalishaji mdogo wa viwandani, utelekezaji wa viwanda pamoja na ukosefu wa mitaji. Mikopo iliyotolewa kwa Sekta ya mifugo na uvuvi ni chini ya 2% na uvuvi wa Bahari Kuu (EEZ) unafanywa na meli za kigeni pekee.

Sekta inapata mikopo kidogo chini ya 2% ya mikopo ya kilimo inayotolewa kwa mwaka, uvuvi wa ukanda wa uchumi wa bahari kuu (EEZ) unafanywa na meli za kigeni pekee. Tanzania kwa mwaka inatumia takribani kiasi cha shilingi bilioni 100 kwa ajili ya kuagiza maziwa, nyama na samaki kutoka nje ya nchi. Vilevile tunatumia kiasi cha bilioni 251 kuagiza bidhaa za ngozi, chakula cha mifugo na samaki 95% vinatoka nje ya nchi. Pia nyavu za kuvulia samaki 80% zinatoka nje ya nchi na uzalishaji viwandani ni chini ya 25% ya uwezo wa uzalishaji. Bidhaa hizi zingeweza kuzalishwa hapa nchini na kuleta ajira, kuongeza mapato ya Serikali na kujenga uchumi wa nchi.

Ilani ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi ya mwaka 2015-2020 ibara ya 25 a-q na ibara ya

Mheshimiwa Rais, John Pombe Joseph Magufuli, wakati wa kampeni za uchaguzi za mwaka 2015 na hata baada ya kuchaguliwa ameahidi kufanya mageuzi makubwa katika sekta, aidha

katika vikao na mikutano mbalimbali ameonyesha kutokuridhishwa na yanayoendelea katika sekta ya mifugo na uvuvi akihoji mara kwa mara kwanini tuagize samaki nje ya nchi, wakati tuna bahari, maziwa na mito yenye raslimali nyingi. Kwa nini tuagize viatu na nyama kutoka nje wakati tunayo mifugo mingi inayotuzunguka? Kwa nini tumekuwa na viwanda vingi ambavyo havifanyi kazi? Maswali haya ya Mheshimiwa Rais ni maagizo na maelekezo kwa Wizara yangu ni lazima yapate ufumbuzi. Hivyo tunaapa kutokushindwa na Mwenyezi Mungu atatusaidia. ‘Leaders must be willing to sacrifise for the sake of the vision, for the sake of their people, for the sake of the Nation’.

Mtaka cha uvunguni sharti ainame”. Pia maneno mazuri ya Mwandishi Reginald Abraham Mengi katika kitabu chake kinachojulikana kama “I can, I must, I will the Spirit of Success”.Na hapa “we can,

we must, we will” hatutashindwa.

Kutokana na changamoto hizi, Wizara yangu imeona kuna umuhimu wa kuunda Dawati hili ili kuunganisha na kuweka daraja baina ya Wizara yangu na sekta binafsi, daraja ambalo kwa sasa naona limevunjika. Dawati hili litatoa suluhisho la changamoto zinikazoikabili sekta binafsi katika biashara na uwekezaji katika sekta za mifugo na uvuvi. Pia itaamsha na kuvutia uwekezaji katika mashirika ya serikali ya NARCO na TAFICO.

…………………………………..

Luhaga Joelson Mpina (Mb)

Waziri wa Mifugo na Uvuvi

Oktoba, 2018

Sekta binafsi inajihusisha kuendeleza biashara kwa kuwekeza kwenye shughuli za uzalishaji, usindikaji na masoko ili kuendeleza Sekta ya Mifugo. Takwimu za mwaka 2018/19 (NBS) zinaonyesha kuwa, Tanzania ina ng’ombe ng’ombe milioni 30.5, mbuzi milioni 18.8 na kondoo milioni 5.3, kuku wa asili milioni 38.2, kuku wa kisasa milioni 36.6, nguruwe milioni 1.9 na punda wapatao 595,160. Kaya takriban milioni 4.6 zinajihusisha na ufugaji, ikiwa ni asilimia 50 ya kaya zote nchini (National Panel Survey, 2012). Takwimu hizi zimeonyesha mifugo ni zao muhimu kwenye kuondoa umasikini kwa kuwa inagusa watu wengi.

Kuna fursa kubwa ya kuwekeza kwenye bidhaa za mifugo kwa kuwa rasilimali kubwa za mifugo na ulaji wa mazao ya mifugo ni mdogo ukilinganisha na mapendekezo ya ulaji. Ulaji wa nyama kwa mwaka 2017/2018 ni wastani wa kilo 15, lita 47 za maziwa na mayai 106 kwa mtu kwa mwaka ikilinganishwa na viwango viwango vya ulaji vilivyopendekezwa na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO, 2011) ambavyo ni kilo 50 za nyama, lita 200 za maziwa na mayai 300 kwa mtu kwa mwaka.

Serikali inajukumu la kuweka mazingira bora ili kuchochea sekta binafsi kushiriki kuwekeza katika sekta ya mifugo, ili kutatua baadhi ya changamoto kama;

Uwepo kwa mamlaka nyingi za Serikali za udhibiti na kusababisha usumbufu usiokuwa wa lazima kwa wawekezaji, ushindani usio wa haki unaosababishwa na uingizwaji wa bidhaa za ndani kutoka nje na kusababisha bidhaa kukosa masoko ya uhakika, tozo nyingi kwa baadhi ya bidhaa, pamoja na ukosefu wa umeme wa uhakika kwa ajili ya viwanda.

Kuna haja ya Serikali kushirikiana na sekta binafsi hususan kujenga viwanda vya mazao ya mifugo (nyama, maziwa na ngozi) ikiwa ni pamoja na kufufua viwanda vilivyotelekezwa.

Hali ya Viwanda vya Kusindika Maziwa Nchini kwa mwaka 2017/2018

Viwanda vya maziwa vilivyopo ni 81, vina uwezo wa kusindika maziwa lita milioni 276.55 kwa mwaka. Kwa sasa vinasindika lita milioni 56.25 kwa mwaka (sawa na asilimia 20.3).

Changamoto:

Upatikanaji wa mitaji ya muda mrefu na yenye riba ndogo, baadhi ya wafanyabiashara kutokuwa waaminifu na kushindwa kufanya marejesho, uuzaji holela wa maziwa ghafi bila usajili wala vibali vyovyote kumepelekea Serikali kupoteza mapato mengi. Aidha, maziwa lita bilioni 2.03 huuzwa katika soko lisilo rasmi na Serikali imekuwa ikipoteza takribani shilingi bilioni 120 kila mwaka;

Zaidi ya asilimi 20 ya maziwa yaliyopo sokoni huingia kwa njia za magendo kupitia bandari bubu na mipakani

Na.

Mkoa

Idadi ya Viwanda

Jina la Kiwanda

Uwezo wa

Kusindika

(Lita/Siku)

Hali Halisi

Usindikaji kwa sasa

(Lita/Siku)

% Matumizi

Halisi

1.

Arusha

14

Northern Creameries

30,000

Hakifanyi Kazi

International Dairy Products

10,000

Kinafanya Kazi

Mountain Green Dairy

1,500

Kinafanya Kazi

Agape Dairy Group

500

Kinafanya Kazi

Jitume Dairy Group

300

Kinafanya Kazi

Idafaso Dairy Group

300

Kinafanya Kazi

Inuka Dairy Group

500

Kinafanya Kazi

Kijimo Dairy Cooperative

1,000

Kinafanya Kazi

Ayalabe Dairy Cooperative Society

1,500

Kinafanya Kazi

Uvingo Dairy

1,000

Kinafanya Kazi

15,000

Kinafanya Kazi

Prince Food Technologies

2,000

Kinafanya Kazi

Hillside Dairies

1,500

Kinafanya Kazi

Nasinya Dairy Ltd

300

Kinafanya Kazi

13/14

2.

Dar es Salaam

8

Bakresa Food Products

10,000

Kinafanya Kazi

Profate Dairy Investment

2,000

Kinafanya Kazi

Manow Dairy

1,000

Kinafanya Kazi

SADO FarmDairy

1,000

Kinafanya Kazi

Fabian and Family Co. Dairy

1,500

Kinafanya Kazi

TAMU Milk

500

Kinafanya Kazi

Dairy Daily

500

Kinafanya Kazi

100,000

Kinafanya Kazi

8/8

3.

Iringa

2

Mafinga Milk Group

600

Kinafanya Kazi

ASAS Dairy

50,000

Kinafanya Kazi

2/2

4.

Kagera

6

3,000

Kinafanya Kazi

Kyaka Milk Plant (Mgando)

1,000

Kinafanya Kazi

Kihanga Milk

500

Hakifanyi Kazi

KageraMgando

1,000

Kinafanya Kazi

800

Kinafanya Kazi

Delco Food Ltd

1,000

Kinafanya Kazi

5/6

5.

Kilimanjaro

11

Nronga Women

2,000

Kinafanya Kazi

West Kilimanjaro

2,000

Kinafanya Kazi

Mboreni Women

1,000

Kinafanya Kazi

Marukeni

1,000

Kinafanya Kazi

Foo Dairy

1,000

Kinafanya Kazi

Ng'uni Women

1,000

Kinafanya Kazi

Kalali Women

1,000

Kinafanya Kazi

Fukeni Mini Dairies

3,000

Kinafanya Kazi

Kilimanjaro Creameries

10,000

Kinafanya Kazi

Neema Dairies

500

Kinafanya Kazi

Kondiki Small Scale Dairy

4,000

Kinafanya Kazi

11/11

6.

2

Lindi Dairy

500

Kinafanya Kazi

Narunyu Sisters Dairy

500

Kinafanya Kazi

2/2

7.

Manyara

1

Nasinya Dairy Ltd

400

Kinafanya Kazi

1/1

8.

Mara

9

120,000

Hakifanyi Kazi

Baraki Sisters

250

Kinafanya Kazi

Nyuki Dairy

3,500

Kinafanya Kazi

Mara Milk

16,000

Hakifanyi Kazi

Kwetu milk

200

Kinafanya Kazi

Bwai Milk

300

Kinafanya Kazi

Mema Milk

500

Kinafanya Kazi

Musoma Milk Group

1,200

Kinafanya Kazi

AFRI Milk

400

Kinafanya Kazi

7/9

9.

Mbeya

3

Lwis Milk

300

Kinafanya Kazi

Mbeya Maziwa

1,000

Kinafanya Kazi

1,000

Kinafanya Kazi

3/3

10.

Morogoro

5

SUA

200

Kinafanya Kazi

Bakilana Dairy

500

Kinafanya Kazi

Shamo Dairy

300

Kinafanya Kazi

Twawose

500

Kinafanya Kazi

Shambani Graduates

3,000

Kinafanya Kazi

5/5

11.

Mwanza

2

Mother Dairy-Sengerema

1,600

Kinafanya Kazi

500

Kinafanya Kazi

2/2

12.

Njombe

1

Njombe Milk Factory

6,000

Kinafanya Kazi

1/1

13.

2

Chawakimu Cooperative

1,000

Kinafanya Kazi

3,000

Kinafanya Kazi

1/1

14.

Rukwa

1

5,000

Kinafanya Kazi

1/1

15.

Ruvuma

2

300

Kinafanya Kazi

Ruvuma Dairies

500

Kinafanya Kazi

2/2

16.

Shinyanga

2

Saweka Cooperative

200

Kinafanya Kazi

Propavet Dairies

500

Kinafanya Kazi

2/2

17.

Simiyu

2

Lamadi Milk (Busega)

400

Kinafanya Kazi

Meatu Milk

1,000

Kinafanya Kazi

2/2

18.

Singida

1

Singidani Dairy

500

Kinafanya Kazi

1/1

19.

Songwe

1

5,000

Kinafanya Kazi

1/1

20.

Tabora

2

Uhai Mazingira (Sikonge)

200

Hakifanyi Kazi

2,000

Kinafanya Kazi

1/2

21.

Tanga

4

Tanga Fresh Ltd

160,000

Kinafanya Kazi

Ammy Brothers Ltd

1,000

Kinafanya Kazi

Irente Farm

1,000

Kinafanya Kazi

Montensory Sister’s

1,000

Hakifanyi Kazi

3/4

22.

Unguja

1

Azam Dairy

150,000

Kinafanya Kazi

1/1

Jumla

82

154,100

757,550 kwa siku (installed capacity)

Ramani 1: Mgawanyo wa viwanda 82 vya maziwa Kimkoa

Hotuba ya Bajeti, 2018/19

Hali ya viwanda vya kuchakata Ngozi Tanzania

Tanzania ina jumla ya viwanda 9 vya kuchakata ngozi, kati ya hivyo 6 vinafanya kazi na 3 havifanyi kazi.

Changamoto

Ufanisi mdogo wa viwanda hivyo unatokana na teknolojia kupitwa na wakati, uchakavu wa miundo mbinu, mitaji ya uendeshaji, ukosefu wa elimu ya ufugaji bora, ukosefu wa wataalamu, ukosefu wa tecknolojia ya uhifadhi na ukosefu wa sera stahiki za kuwezesha uanzishaji na uendelezaji wa viwanda vya ngozi

Jedwali Na. 2: Viwanda vya Kusindika Ngozi 2017/2018

NA.

JINA LA KIWANDA

MAHALI

-VIPANDE(Feet2)

HALI HALISI

Ng’ombe

Mbuzi/Kondoo

1

Lake Trading Co. Ltd

Kibaha

90,000

420,000

Kinafanya kazi

2.

Himo Tanneries and

Planters

Moshi

90,000

900,000

Kinafanya kazi

3

Sak InternationalLtd

Arusha

450,000

900,000

Kinafanya kazi

4

Morogoro

1,200,000

3,600,000

Kinafanya kazi

5

Salextanneries Ltd

Arusha

624,000

1,500,000

Kinafanya kazi

6

Moshi Leather Industries

Ltd

Moshi

180,000

1,200,000

Kinafanya kazi

7

AfroLeather Industries

300,000

700,000

Hakifanyi kazi

8

Hua Cheng

Dodoma

900,000

1,500,000

Hakifanyi kazi

9

Shinyanga

900,000

2,100,000

Hakifanyi kazi

4,734,000

12,820,000

Chati Na. 3: Viwanda vya ngozi

Hotuba ya Bajeti, 2018/19

Asilimia 67 ya viwanda hivi vinafanya kazina asilimia 33 havifanyi kazi

Viwanda vya nyama vilivyopo ni 32 na vinauwezo wa kuzalisha tani 626,992 za nyama kwa mwaka. Uzalishaji kwa sasa ni tani 81,220 kwa mwaka.

Jedwali Na. 3: Idadi ya viwanda vya kusindika nyamavilivyopo nchini

NA

MACHINJIO/KIWANDA

MAHALI

KILIPO

UWEZO KWA SIKU

HALI YA

SASA

1

Alpha Choice LTD-Magu

Magu

Ng'ombe 80

Kinafanya kazi

2

SAAFI Ltd

Sumbawanga

Mbuzi na Kondoo 150

Kinafanya kazi

3

Orpul Ltd

Simanjiro

Mbuzi na Kondoo 40

Hakifanyi kazi

4

Arusha Meat Company

Arusha

Ng'ombe 300,

Kinafanya kazi

5

Mtanga Farms Iringa

Iringa

Ng'ombe 80

Kinafanya kazi

6

Peramiho

Songea

Ng'ombe 40

Kinafanya kazi

7

Triple S Company

Mbuzi 700

Hakifanyi kazi

8

Tandan Farms Iringa

Nguruwe 100

Hakifanyi kazi

9

Happy Sausage

Arusha

Nguruwe 100

Kinafanya kazi

10

Kuku Poa

Mwanza

Kuku 5,000

Kinafanya kazi

11

Interchick

Dar es salaam

Kuku 3,000

Kinafanya kazi

12

Kijenge Farms

Arusha

Kuku 4,000

Kinafanya kazi

13

Kiliagro

Moshi

Kuku 4,000

Kinafanya kazi

14

Mkuza Chicks

Kibaha

Kuku 5,000

Kinafanya kazi

16

Aman (Endanahai)

Babati

Kuku 4,000

Kinafanya kazi

17

Al Kafir Co.Ltd

Dodoma

Ng'ombe 300, Mbuzi na Kondoo 3,000

Kinafanya kazi

18

Fudar Enterprise Co

Dodoma

Mbuzi 1,000

Hakifanyi kazi

19

S and Y Group Meat Co. Ltd

Dodoma

Ng'ombe 200,

Mbuzi 1,000

Kinafanya kazi

20

Ali Allaba Company Ltd

Bagamoyo

Mbuzi na Kondoo

3,000

Hakijakamilika

21

Shinyanga

Punda 100

Kinafanya kazi

22

Chobo Investment Ltd

Mwanza

Mbuzi na Kondoo 400

Kinafanya kazi

23

Manispaa ya Iringa

Iringa

Mbuzi na Kondoo 200

Hakijakamilika

24

Mvomero

Mbuzi na Kondoo 200,

Kuku 16,000

Hakijakamilika

25

Kampuni ya Ranchi za Taifa

(NARCO)

Ruvu

Ng'ombe 800

Hakijakamilika

26

Kibaha

Kuku 3000

Kinafanya kazi

27

UbungoDSM

Nguruwe 20

Kinafanya kazi

28

Dodoma

Punda 40

Kinafanya kazi

29

Mbuni 5

Kinafanyakazi

30

Moshono

Arusha

Nguruwe3na

Ng'ombe 7

Kinafanya kazi

31

Zheng He International (T)

Kinafanya kazi

32

GES Company Ltd

Kinondoni

Nyama tani 8

Kinafanya kazi

ChatiNa. 4: Viwanda vya nyama

Hotuba ya Bajeti, 2018/19

Asilimia 75 ya viwanda vinafanya kazi na asilimia 25 havifanyi kazi kama inavyoonekana kwenye chati hapo juu.

SEKTA YA UVUVI

Sekta ya Uvuvi inachangia asilimia 2.2 katika pato la Taifa na imekua kwa asilimia 2.7 ikilinganishwa na asilimia 4.2 ya mwaka 2016, wavuvi na wafugaji samaki wapatao 230,977 walishiriki moja kwa moja kwenye shughuli za uvuvi (NBS, 2018) Zaidi ya Watanzania milioni 4 wameendelea kupata kipato cha kila siku kwa kushiriki shughuli zinazotegemea kuwepo kwa sekta ya uvuvi

Ukuzaji Viumbe kwenye Maji umeendelea kuhimizwa na kusimamiwa ikiwa ni pamoja na ufugaji samaki, kambamiti, kilimo cha mwani na ukuzaji wa chaza wa lulu kwa ajili ya lishe, ajira, kipato kwa nchi na kuchangia pato la Taifa. Aidha, kumekuwa na ongezeko la teknolojia za kukuza samaki wengi kwenye ujazo mdogo, hususan vizimba na ufugaji wa kutumia maji kidogo yanayozunguka na kusafishwa

kilimo cha zao la mwani Tani1,329.5 zenye thamani ya shilingi milioni 469.8 zimevunwa na kusafirishwa nje ya nchi mwaka 2017/2018

Kanda ya Ziwa Samaki

Dar es Salaam na Pwani – Samaki

Jedwali Na. 4: Mchanaganuo wa viwanda vya kuzalisha chakula cha samaki

S/N

Kiwanda

Uwezo wa kuzalisha kwa mwaka

Uzalishaji wa sasa kwa mwaka

1

Hill feeds Co. Ltd (DSM)

15,000 Mt

7,000 Mt

2

Tan Feeds Co. Ltd (Morogoro)

5,000 Mt

2,000 Mt

3

Eden Agri Aqua Co. Ltd (DSM)

1,500 Mt

1,000 Mt

4

Ruhanga Fish Foods (Muleba

Kagera)

5,000 Mt

2,000 Mt

Jumla-4

26,500 Mt

12,000 Mt

Vizimba

Uwekezaji wa vizimba kwa sasa uko Ziwa Victoria tu. Makadiriao ya uzalishaji ni tani 1000 kwa mwaka

Jedwali Na. 5: Ziwa Victoria

S/N

Kampuni

Idadi ya Vizimba

Makadirio ifikapo 2021

1

JKT Bunda

45

150

2

Konga Aqua business (Nyanguge)

10

100

3

Meck Sadiq (Sengerema)

14

50

4

Meck Sadiq (Association)

17

140

Jumla 4

96

440

Takwimu zinaonyesha kuwa kuna mabwawa 26,000 yenye wastani wa 200m2 na kuzalisha takribani tani 500 mwezi/mwaka za tilapia (with a small % cat fish)

Chati namba 5: Uzalishaji wa vifaranga vya samaki (2017)

Kwa sasa uzalishaji wa vifaranga vya samaki upo chini sana kulinganisha na mahitaji kama chati inavyonyesha hapo juu.

Pamoja na hali halisi iliyoelezwa, sekta ya uvuvi inakabiliwa na changamoto mbalimbali zikiwemo; uvuvi na biashara haramu ya mazao ya uvuvi, upotevu wa mapato ya Serikali yatokanayo na sekta ya uvuvi, ukosefu wa vitotoleshi (hatchery), chakula bora cha samaki wafugwao na masoko yasiyokuwa ya uhakika kwa zao la mwani

Chati Na. 6: Uvunaji na Usindikaji kwa mwaka

Chati Na. 7: Usindikaji chini ya uwezo wa viwanda (Viwanda vyote 14 ni vizima)

UINGIZAJI WA BIDHAA KUTOKA NJE YA NCHI

Uzalishaji wa ndani wa maziwa, nyama na samaki haukidhi mahitaji sababu ya uzalishaji wa msimu na uwekezaji mdogo kwenye usindikaji wa mazao ya mifugo na uvuvi. Tanzania kwa mwaka inatumia kiasi cha TZS 30,290,485,222 kwa ajili ya kuagiza maziwa, TZS 9,960,996,399.6 nyama, fish (TZS 56 billion) n.k. ambavyo vingeweza kuagizwa hapa nchini.

Mwaka

Uzito (Tani)

Thamani (Tshs '000)

2012

4,886

5,507,054

2013

6,642

9,027,184

2014

6,792

9,889,823

2015

6,744

32,211,238

2016

13,918

26,774,124

2017

22,962

56,121,332

Chati Na. 8: TADB-Mikopo iliyopo kwa wateja “exposure” (2015-August, 2018)

Chati namba 9: Private Agricultural Sector Support Trust (PASS)

Katika mwaka 2016 Sekta ya Kilimo ilikopeshwa kiasi cha Shilingi bilioni 122.2. Katika kiasi hicho PASS ilidhamini kiasi cha Shs.10.998 billion kwenye ya Sekta ya Mifugo na Sekta ya Uvuvi haikudhaminiwa (0.00)

Ikiwa viwanda vya kuchakata na kusindika mazao ya kilimo pamoja na viwanda vinavyounda pembejeo vingewezeshwa na kupewa msukumo na serikali vyakula vya mifugo na samaki pamoja na pembejeo zake zinaweza kuzalishwa hapa nchini

Kwa mujibu wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Uwekezaji katika sekta ya kilimo ni 5%, mifugo na uvuvi ni chini ya 5%)

UBIA KWENYE SEKTA YA KILIMO-SAGCOT CENTER

Imeanzisha ubia na wewekezaji kwenye sekta ya kilimo (business partners) na kutatua changamoto zinazowakabili kwenye minyororo ya thamani ya: Soya, maziwa, viazi mviringo, chai na nyanya

Imeanzisha ubia na wewekezaji kwenye sekta ya kilimo (business partners) na kutatua changamoto zinazowakabili kwenye minyororo ya thamani ya: Soya, maziwa, viazi mviringo, chai na nyanya

Chati Na. 10: Mazao matano kwenye Kongani (cluster) ya Ihemi

Ziara za hivi karibuni zilizofanywa na viongozi wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi umebaini ya kwamba baadhi ya mashirika ya serikali yaliyobinafsishwa ikiwa ni pamoja na viwanda vya kusindika maziwa, nyama, mashamba ya mifugo nk, havifanyi vizuri kama ilivyotarajiwa.


Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Joelson Mpina (Mb) akipima urefu wa samaki aina ya Sangara kujiridhisha urefu unaoruhusiwa kisheria alipafanya ziara ya kushitukiza katika kiwanda cha NILEPERSH LTD jijini Mwanza, mapema Agosti, 2018.

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah H. Ulega (Mb) akiwa na kikundi cha ufugaji bora wa kuku Dodoma kijulikanacho kama CHAWAKUBODO. Mwenye miwani ni Mhe. Mizengo Kayanza Pinda, Waziri Mkuu Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Katibu Mkuu (Uvuvi) Dr. Rashid Tamatamah (katikati) akifanya mazungumzo na Balozi wa Japan Nchini Tanzania (aliyeketi kushoto kwake), Esher Mndeme Kaimu Meneja Mkuu wa TAFICO (aliyeketi kulia kwake)


Katibu Mkuu (Mifugo) Prof. Elisante Ole Gabriel akiangalia ng’ombe wa nyama alipotembelea shamba la kuzalisha mifugo Wilaya ya Misungwi Mkoani mwanza tarehe 09 Agosti, 2018.

CHANGAMOTO ZA SEKTA YA MIFUGO NA UVUVI

UTEKELEZAJI WA VIPAUMBELE

Kutekeleza ahadi ya Mheshimiwa Rais, John Pombe Joseph Magufuli, wakati wa kampeni za uchaguzi za mwaka 2015 nahata baada ya kuchaguliwa ameahidi kufanya mageuzi makubwa katika sekta ya Mifugo na Uvuvi.

UANZISHWAJI WA DAWATI

Majukumu:

UZINDUZI WA DAWATI

Dawati lilizinduliwa rasmi tarehe 1/10/2018, zifuatazo ni picha za uzinduzi huo

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Joelson Mpina (Mb) akisaini kitabu cha wageni siku ya ufunguzi wa Dawati la Sekta Binafsi, huku akishuhudiwa na viongozi mbalimbali, kutoka kushoto ni Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa Dodoma Mhe. Simon Odunga, Prof. D. Nyange (ASPIRES), Bw. Japhet Justine (TADB), Bw. G. Kilenga (SAGCOT), Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah H. Ulega (Mb), Mwenyekiti wa kamati ya Kudumu ya Bunge ya kilimo, Maji na Mifugo Mhe. Mahmoud Mgimwa (Mb).

).

MPANGO KAZI WA DAWATI LA SEKTA BINAFSI

Malengo

Shughuli

Matokeo

Q1

Q2

Q3

Q4

Wahusika (Wizara ya Mifugo na Uvuvi; Taasisi na Mashirika Mbalimbali)

1.1 Uanzishwaji wa Ofisi za Dawati

1.1.1 Ofisi kwa ajili ya Dawati

Ofisi ya Dawati imezinduliwa na inafanya kazi

1.1.2.Kununua thamani za Dawati

1.1.3. Kununua Kompyuta 4, mashine ya kutoa nakala na printa

1.1.4 Kununua shajara za ofisi

1.1.5 Kuandaa Mabango ya ofisi ya Dawati

01 Oktoba, 2018

2.1 Kutambuataarifaza wawekezaji na wadhibiti(regulators)

2.1.1 Kuorozesha wawekezaji na shughuli zao kwenye sekta ya Mifugo na Uvuvi

Uwepo wa taarifa za wawekezajikwenye sekta za Mifugo na Uvuvi

2.1.2 Kuorozesha wadhibiti na vigezo wanavyotumia katika bidhaa za Mifugo na Uvuvi

Uwepo wa taarifa za wadhibiti na vigezo vya udhibiti

3.1 Kujenga mazingira mazuri ya uwekezaji katika sekta za mifugo na uvuvi

3.1.1 Kufanya warsha mbali mbali za wadau wa Sekta ya Mifugo na Uvuvi

Fursa na changamoto za wadau zimetambulika na kupatiwa ufumbuzi

3.1.2 Kushirikiana na Idara ya Sera na Mipango, na Kituo Cha Uwekezaji Tanzania katika kuainisha fursa za uwekezaji katika Sekta ya Mifugo na Uvuvi

Kuwa na kitabu cha fursa za Uwekazaji katika Sekta za mifugo na Uvuvi

3.1.3 Kufufua Viwanda vilivyokufa na kufuatilia vilivyo badilishiwa matumizi

Viwanda vinafufuliwa na kufanya kazi

Integrated rural development project pamoja na mradi wa milk shade

Uwekezaji kwenye hii miradi umefanyika

3.1.5 Kufuatilia uwekezaji wa uzalishaji wa vyakula na vifarangavya kuku na samaki

Uwekezaji wa uzalishaji wa vyakula na vifarangavya kuku na samaki umeongezeka

3.1.6 Kuhakikisha viwanda vilivyopo vinaongeza uzalishaji na uanzishwaji wa viwanda vipya vya nyavu

Kuongezeka kwa viwanda na uzalishaji wa nyavu

3.1.7 Kuainisha na kutafuta suluhisho la viwanda vinavyozalisha chini ya uwezo vikiwamo kiwanda cha CHOBO na SAFI.

Viwanda vinazalisha katika uwezo unaotakiwa

3.1.8 Kuwezesha ujenzi waviwanda vya kuchakata samaki maeneo yafuatayo: Ukerewe, Chato na Bukoba

Viwanda vitatu vya samaki vimejengwa na vinafanya kazi.

3.1.9 Dawati kuhakikisha kampuni ya NARCO na TAFICO zinawekeza kikamilifu kwenye sekta ya mifugo na Uvuvi

Ø

Uwekezaji umeongezeka

3.1.10 Kufuatilia ujenzi wa mnada mkubwa wa mifugo eneo la Ruvu

Mnada mkubwa wa mifugo umeanzishwa

3.1.11 Kufuatilia uanzishwaji wa viwanda vya kikanda vya kimkakati kwa kuzingatia maeneo yafuatayo: (Morogoro, Mara (Utegi), Viwanda vya maziwa. Kagera (Nyama na maziwa), Dar, Morogoro, Mwanza na Arusha-Viwanda vya nyama.

Viwanda vya kimkakati vimejengwa

3.1.12 Kuhakikisha uwekezaji mkubwa kwenye mabwawa na vizimbavya kuzalisha na kufugia samaki unafanyika ukanda wa Pwani na Ziwa Victoria

Uzalishaji na ufugaji wa samaki kwenye mabwawa na vizimba umeongezeka

3.1.13 Kuwatafuta na kuwatengeneza wawekezaji kwenye hatua zote (uzalishaji, uchakataji na masoko)

Wawekezaji kwenye mnyororo wa thamani wa mazao ya mifugo na uvuvi wameongezeka

3.1.14 Kuhakikisha uwekezaji kwenye rachi na vitalu vya Taifa umeongezeka

Uwekezaji kwenye rachi na vitalu umeongezeka

3.1.15 Kufanya tafiti za biashara /utoroshwaji wa mifugo na mazao yake,utoroshaji wa mazao ya Uvuvi.

4.1 Kuainisha sera, sheria, kanuni na taasisi za udhibiti za sekta ya mifugo na uvuvi

4.1.1 Kushirikiana na Idara ya Sera na Mipango kupitia miongozo ya uwekezaji katika biashara za Sekta ya Mifugo na Uvuvi (quick win reforms and cross-sectoral reforms)

Sera, sheria nakanuni zinazoongeza fursa zauwekezaji katika sekta za mifugo na uvuvi zimeainishwa

4.1.2 Kushirikiana naTaasisi za udhibiti kupunguza mlolongo na urasimu wa taratibu za uwekezaji

Taratibu za uwekezaji zimerahisishwa

4.1.3 Kufanya Tafiti na Chambuzi mbalimbali katika Sekta kwa hatua zifuatazo:

Ø

ØTask force)

Ø

Mapitio yaSera zauwekezaji katika sekta za Mifugo na Uvuvi yamefanyika

4.1.4 Kufanya Upembuzi Yakinifu kwa ajili ya kutoa mapendekezo ya uanzishwaji wa Taasisi (Agency) ya kusimamaia miundombinu ya sekta ya Mifugo na Uvuvi

Taarifa ya Upembuzi Yakinifu imewasilishwa.

5.1 Udhibiti wa bidhaa kutoka nje kwa kuongeza uzalishaji kwenyeviwanda vya ndani(import substitution Industrialization)

Ungozeko la bidhaa zinazozalishwa nchini

6.1 Vijarida vya Mnyororo wa Thamani

value chain, supply chain, profitability chain, cost chain and humancapital)

Vijarida vya Mnyororo wa Thamani wa mazao ya mifugo na uvuvi vimeandaliwa

7.1 Kuitangaza Sekta ya Mifugo na Uvuvi

7.1.1 Kushiriki kwenye maenyosho na mikutano mbalimbali

Sekta ya Mifugo na Uvuvi imetangazwa ndani nan je ya Nchi.

7.1.2 Kushiriki makongamao, mikutano na warsha mbali mbali za uwekezaji

8.1 Mambo Mtambuka

8.1.1 Kuzitambua taasisi zafedha zilizo ndani na nje ya nchi zinazotoa mikopo nafuu kwenye sekta ya Mifugo na Uvuvi

8.1.3 Kufanya uchambuzi na tathmini ya muelekeo wa bei za bidhaa za mifugo na uvuvi (market intelligence)

Mapendekezo ya mwenendo wa soko kwa bidhaa za mifugo na uvuvi yametolewa.

8.1.4. Kufuatilia uwepo wa fursa za upatikanaji wa mitaji kwa vijana wanaomaliza masomokatika fani za mifugo na uvuviili wawekeze kwenye sekta hizo (SUA, LITA na FETA)

Kuongezeka kwa idadi ya vijana waliowekeza kwenye sekta.

8.1.5 Kuandaa viashiria vya kazi na malengo ya Dawati na kutolea taarifa za muelekeo wake kwa kila robo na mwaka

Taarifa za utekelezaji wa malengo zimeandaliwa na kuwasilishwa kwa wakati.

WATUMISHI WALIOTEULIWA KWENYE DAWATI LA SEKTA BINAFSI

NA.

JINA

TAASISI ANAYOTOKA

NAFASI

1

Stephen Michael

Wizara ya Mifugo na Uvuvi

Mratibu wa Dawati

2

June Ibrahim Fussi

Wizara ya Mifugo na Uvuvi

Mtaalamu Sekta ya Mifugo

3

Zakayo P. Mphuru

Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB)

Mtaalamu Sekta ya Benki

4

Augustine Mshanga

ASPIRE/SAGCOT

Mtaalamu Sekta Binafsi

5

Anthon Dadu

Wizara ya Mifugo na Uvuvi

Mtaalamu Sekta ya Uvuvi

6

Mwanaisha Kipande

Wizara ya Mifugo na Uvuvi

Msimamizi wa Ofisi

7

Zahoro Fundi

Wizara ya Mifugo na Uvuvi

Dereva


.