KATIBU MKUU UVUVI DR. RASHID TAMATAMA ATEMBELEA SOKO LA SAMAKI FERRY KUKAGUA UJENZI WA VYOO

Imewekwa: Friday 02, November 2018

Leo katibu mkuu wa uvuvi Dkt. Rashid Tamatama alikwenda kuangalia utekelezaji wa ujenzi wa vyoo 24 hiyo ikiwa ni katika hatua za utekelezaji wa ahadi za Mh. Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mh. Luhaga Mpina alipotembelea sokoni hapo na kubaini mapungu yaliyopo ikiwemo.

  • 1.Uchakavu wa majengo
  • 2.Upungufu wa vyoo;
  • 3.Kujaa kwa mchanga katika bahari: na
  • 4.Uchakavuwa jokofu la kuhifadhia samaki

Ambapo alisema kuwa Wizara yake itaingilia kwa kuchukua hatua za haraka katika hayo na kuagiza mara moja kwa ujenzi wa vyoo 24 ambavyo vitapunguza msongamano sokoni hapo.

.