Home » Latest News » Ziara ya Katibu Mkuu Sekta ya Mifugo Dkt. Mary Mashingo Mkoani Kagera

Ziara ya Katibu Mkuu Sekta ya Mifugo Dkt. Mary Mashingo Mkoani Kagera

Katibu Mkuu  wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia Sekta ya Mifugo, Dkt. Mary Mashingo(aliyeshikafimbo) akipima kina cha Kisima ambacho kilitengenezwa kienyeji kwaajili ya kunyweshea mifugo katika eneo la Kafunjo Wilaya ya Missenyi Mkoani Kagera .Waliomzunguka ni wataalam mbalimbali kutoka Wizara ya Mifugo naUvuvi, Wizaraya Mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa na Halmashauri ya Missenyi. (Pichana John Mapepele)