Home » Latest News » Tangazo la kujiunga na Mafunzo vyuo vya mifugo 2017/2018

Tangazo la kujiunga na Mafunzo vyuo vya mifugo 2017/2018

Wakala wa Vyuo vya Mafunzo ya Mifugo (LITA) inatangaza nafasi za mafunzo katika ngazi ya Astashahada na Stashahada kupitia Wakala wa vyuo vya Mafunzo ya Mifugo.Kwa taarifa zaidi tembelea tovuti ya wakala. www.lita.go.tz