Home » Latest News » Serikali yataifisha kundi lingine la Ng’ombe kutoka Rwanda

Serikali yataifisha kundi lingine la Ng’ombe kutoka Rwanda

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina  akiongea na team ya Wilaya ya Kasulu iliyoshiriki katika zoezi la kukamata ng’ombe aina ya nyankole kutoka Rwanda.