Home » Latest News » Ng’ombe walioingizwa katika Wilaya ya Mwanga kutoka Nchini Kenya wapigwa mnada

Ng’ombe walioingizwa katika Wilaya ya Mwanga kutoka Nchini Kenya wapigwa mnada

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina akiongea na Baadhi wa wafugaji na Viongozi wa Mkoa wa Kilimanjaro  katika kijiji cha Kyara wilayani Mwanga ambapo umetokea uingizwaji wa mifugo kinyume cha sheria kutoka nchi jirani ya Kenya. habari kamili tembelea http://habarimifugouvuvi.blogspot.com/