Home » Events » Mkutano wa Chama cha Wanawake (TAWLAE)

Mkutano wa Chama cha Wanawake (TAWLAE)

 

Chama cha wanawake  wataalamu kutoka Wizara ya Kilimo,Mifugo,Uvuvi na Mazingira,  ( TAWLAE)  wamefungua rasimi mkutano wa mwaka  wa 21 na kuhudhuriwa na Naibu katibu Mkuu Bi Butamo Philipo.