Home » Uncategorized » Mhe Naibu Waziri Kukagua Mashine za Usindikaji wa Mbegu mbalimbali.

Mhe Naibu Waziri Kukagua Mashine za Usindikaji wa Mbegu mbalimbali.

naibu waziriMhe. Naibu Waziri William Tate Ole Nasha aki kagua mashine za Usindikaji wa mbegu mbalimbali za mazao katika shamba la ASA  Ngaramtoni Arusha  mnamo tarehe 10/03/2016.