Home » Uncategorized » Katibu Mkuu Idara kuu Uvuvi Dkt. Yohana Budeba akisherehekea ushindi katika maonesho ya Nanenane

Katibu Mkuu Idara kuu Uvuvi Dkt. Yohana Budeba akisherehekea ushindi katika maonesho ya Nanenane

????????????

Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi imeshika namba moja (1) kwa Wizara inayoongoza katika Sekta ya Uchumi katika mashindano ya sherehe ya wakulima iliyofanyia Ngongo – Lindi.