Home » Uncategorized » Kamati ya kudumu ya Bunge Kilimo, Mifugo Uvuvi na Maji Watembelea Narco.

Kamati ya kudumu ya Bunge Kilimo, Mifugo Uvuvi na Maji Watembelea Narco.

MAMA MASHIGOKatibu Mkuu Mifugo Dkt Maria Mashingo akiwakaribisha wabunge katika lanchi ya Narco kwa ajili ya kukagua miradi ya Maendeleo,kutoka kulia ni Mhe.Martha Mlata katibu wa kamati,Mhe.Mary Nagu mwenyekiti wa kamati na kushoto ni Meneja wa lanchi za Taifa Dkt.Bwire kafumu. Mnamo tareheĀ  05/4/2016