Home » Events » Mpina akikagua banda la Mbuzi linalokadiriwa kuchukua mbuzi 800

Mpina akikagua banda la Mbuzi linalokadiriwa kuchukua mbuzi 800

Waziri wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Mh. Luhaga Mpina  akikagua banda la Mbuzi linalokadiriwa kuchukua mbuzi 800 kwa wakati mmoja katika ranchi ya Mkata.